Nyashinski – Hayawani

0
1679

Brand new audio and video from Nyashinski titled “Hayawani”.

Listen to the first verse

Kabla Suala ukamilishe Mama
Tafadhali Mola mwambie
Milele anichunge mi nisije zama
Mashetani yasinivamie
Chuki,wivu tunakutesa
Linda kwako usiwaskie
Kwa nini hatuwezi sote kupenda
Oii wenzangu acha niwaambie
Labda si sote wendawazimu!
Labda laana yetu pesa
Kesho ukipoteza kila kitu
Dunia nzima itakucheka
Wanaomba ntiliwe chai yangu sumu
Wabaki hao ndio kusema
Kesho wapigie demu yangu simu
Asahau alivyonipenda!
Ooo Hayawani
Chorus:
Hayayayaya
Hayawani hawa si watu hawa

Listen to it below:

Click HERE to Download the track (RIGHT CLICK AND SAVE AS)

Watch the video below:

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here