Pesa, Pombe, Bia na Wanawake – Mashifta

1
1880

When a song Bambas you so much that you have to write the lyrics then you know you really have a hit record on your hands. This song is probably about 4 years old, I heard it first while I was still in Kenya, but when DJ Kelz sent it to me it took me back – way back! But whats more important is the fact that Kellz decided to pen the lyrics for the artist since he is not around to proclaim his work.

With that in mind, we have been working on a lyrics database for all the local songs, it should be up soon. There is nothing as bad as singing your own things on local songs especially coz you don’t know sheng.. ha ha ha ha ..

Listen to the song here:

[audio:http://files.getmziki.com/pesa_pombe_bia.mp3]

Download the track here:

Watch the video here:

Lyrics to the song :

Aghaaa, Aghaaaa, Aghaaaa
s wote ni wa poa
Si kila mtu uiba uponea,
Si kila dem msupu u olewa
Na si kilamtu mpoor uponea

Rap Verse 1

Shuku Macho zinakuangalia,
Shuku mikono zinakusalimia zimetoka wapi,
Shuku barua una andikiwa bila adress,
Na pesa unapewa ovyo ovyo, utalipa na dam (damu)
Chuki ndio inafichwa na salam,
guza pesa na jina, chunga usipatwe na bibi ya msee,
position mbaya, unaunganisha wire ya stima na maji,
MC anatumia solar energy
hakuna msee ako na elergy ya pesa
wanasiasa, wananitaka me kwa me kwa ma ambulance, ama kwa Mercedes benze
ma two thirty system za multy party, zituvute kati kati ka kamba tag over war eh eh
ipi ndio refu ni mko ya law ama ya wezi,
maskio zina pokea frequency ya centi ka zinagongana,
Sox zinachomelewa ka umeva ndula,
nguo ka haija kauka,
radio ka ina imba,
sembe ka haija iva,
ka uko kwa bafu,
kafeu, ya mwanaume by saa tatu asi kose kwa bar,
polygamy bibi wa kwanza pombe,
tamaa za tumbo na kimwili,
80 percent ya akili, ya mwanaume, ni kwa pesa na kwa opposite sex,
ndio kwa maana hakuwezi isha wezi na malaya,
wale kesho wata itwa mama ndio ma sex worker,
ma pick pocket ukiwaka ndio pesa zina potelea,
on the thin air, ka shimoli kwa high court,
pesa ndio power, pesa ndio ina gawa family bwana na bibi,
ndio inagawa society zima maskini na matajiri,

Chorus.

Pesa pombe siasa na wanawake (YO)
ndio itafanya wanaume wauwane (yo)
Pesa pombe siasa na wanawake (yo)
Ndio itafanya wanaume wa wazunguke (YO)
(*2)

Watu wengine wana hubiri maji
lakini na kunywa vinyuaji tofauti
ghost names kwa list yako ya mshahara,
niki handle biashara, na angusha ki viro after ki viagra nisiende hasara
kwa duke imeandikwa hawavuti sigara,
juu ya urembo natural,
msichana anaharibu akiwa mdogo, raha,
nina feeling ka nitaendelea kuishi nitakuwa mdosi, kusanya kihara
we usinionyeshe ma fikira,
arufu ya chwara kwa secret admirer,
kusakanya ya mirror, furaha!
kwa 4 weddings zenye funeral kika YOTE! (hapa sijui ana mean what)
na kuwa constructive na time yangu
cause hakuna job MAMBO YOTE
Yako ya privacy yanaingiliwa na press KILITON OBOTE!
unafukuzwa kwenyu hakuna uzuri kwote
route ni twende, after kamukunji
tumevalia suti ma brother ni suit case,
nikitaka kujua ka economy imeharibika
na anagalia price ya nyama quater kwa butchery,
bado sina upendo kwa polisi,
bado brother hawezi uma njaro,

CHORUS
Pesa pombe siasa na wanawake (YO)
ndio itafanya wanaume wauwane (yo)
Pesa pombe siasa na wanawake (yo)
Ndio itafanya wanaume wa wazunguke (YO)
(*2)

VERSE TWO

kifo ndio haijui utoto na uzee,
cell ndio wata lala minister na chokoch,
gun ndio haijui ka umejaa au umekonda,
kifo ni moja, shida nikui ngoja,
nani ndio nani maabusu wamevaa nyeupe viangel
ma pastor wamevaa nyeusi vi devo (devil)
ma cornmen, wame ekelea sura za wasamaria wema,
pastor kwa hema ana ponya,
vipofu na viwete wanaona na wanatembea,
actually ali wa hire, ka kando na siasa,
kupendua akili ya mjinga, nikama kupendua o up side down,
nini talk of the town ka si pesa, pombe, wanawake na mi?
quater ya watu wa mtaa ni wezi,
quater ya wafanyi kazi wa bank ni wezi,
walichora kila kitu kwa map,
tunaongozwa na pesa na saa,
ndio tuna ivaa kwa makaa inaotwa na wanasiasa,
nina ma swali hainanga answers,
tulichagua mayor ama nightmare, your warship,
city imeturn yellow juu ya makojoo,
sewage zimetoboka, bara bara mbaya mbaya,
taka taka za hotel, kubwa kubwa zina tupwa kwa slums,
na guns za makarao zina toa chuma badala ya rubber saa za riots

CHORUS
Pesa pombe siasa na wanawake (YO)
ndio zitafanya wanaume wauwane (yo)
Pesa pombe siasa na wanawake (yo)
Ndio zitafanya wanaume wa wazunguke (YO)
(*2)

Shimoli wao nao, virgins na ball
hit man pastor na we muna penda pesa,
sa sa, naishi leo nika hakuna kesho,
endelea, kwa marafiki, unawasaliti,
hii story ni ka ya,
dem akiloose virginity,
kuro aki tafuta mr right,
unaongezewa violence kwa robbery,
ma date za kisiri, ma siri zina potea kwa hatari,
alafu inakuwa ulipata heart attack ama accident ya gari,
deputy ana furahia ku inherit, una sifiwa ulikuwa mpoa ukisha dedi,
kila ndururu nina spendi, kauni pendi siku pendi,
masiku za wiki kwetu ni weekendi,
tuna commit sins zina annoy the devil kila level,
ya casi ki biwot, reporter kwa hizi controversy,
nakuchukua tu your wildest fantasy,
siwezi ishi bila radio, bla bla bla aaaaaawwww,
mwanamke akiwa mangaa mrusdishe kwao,
na represnt wa africa wapenda nao,
hawa gusani gusani kwa bara bara,
lakini wana fanya ma ajabu wakiwa peke yao,
saa, tuta lala njaa ama tuta iba?
mixxing business with pleasure,
honey alifanya tukosane na ndugu,
money ilifanya tukosane na ndugu.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here